Wapendwa Wana-Ukukikama,
Napenda kuwakaribisha kwenye blog ya kikundi chetu cha UKUKIKAMA.
Madhumuni ni kuweza kubadilishana mawazo na kuwasiliana kwa urahisi zaidi bila kusubiria vikao vyetu vya kila mwezi. Natarajia kuwa blog hii yaweza punguza pia mda wa majadiliano na badala yake mda wa vikao utatumika vizuri katika kupitisha mapendekezo ambayo yameishajadiliwa nje ya vikao. Hoja binafsi, minutes, picha kutoka kwenye vikao, katiba nk vinaweza wekwa humu. Ahsanteni.
Wenu,
Frank Tilugulilwa
(mob) +255767000255
eMail : tilugulilwa@gmail.com | tilugulilwa@udsm.ac.tz
No comments:
Post a Comment